1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chakula muhimu baada ya mfungo

03:18

This browser does not support the video element.

18 Aprili 2022

Fahamu vyakula unavyotakiwa kula baada kufunga au kukaa na njaa kwa muda mrefu,Vyakula kama nyama, mboga za majani havishauriwi mtu aliefunga kula kama chakula cha kwanza (futari). Wataalamu wa lishe wanasema tende na matunda ni miongoni mwa vyakula vinavyoleta nguvu kwa haraka na mwili unavuna madini mengi na muhimu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW