Chama cha siasa nchini Afrika Kusini cha COPE chazinduliwa rasmi
16 Desemba 2008Matangazo
Waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo Mosiuoa Lekota amechaguliwa kukiongoza chama hicho.
Grace Kabogo alizungumza na Abdalah Nzabonimpa, mtangazaji wa Channel Africa nchini Afrika Kusini, naye alianza kwa kumueleza ni kwa nini baadhi ya viongozi wa ANC waliamua kujitenga na chama hicho na kuanzisha chama kipya cha COPE: