1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto ya utiririshaji wa maji taka Dar es Salaam

02:21

This browser does not support the video element.

13 Desemba 2021

Magonjwa mfano wa kipindupindu yanayosababishwa na maji machafu, lakini bado kuna changamoto nyingi katika nchi za Afrika Mashariki kutatua tatizo la maji taka. Jijini Dar es Salaam baadhi ya wakaazi wanatabia ya kutiririsha maji machafu wakati wa kipindi cha mvua.Salum Hamisi kiongozi wa serikali ya mtaa wa Suna-magomeni anafanya jitihada kutoa elimu kwa wakaazi wa mtaa wake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW