1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Changamoto ya watoto wenye mahitaji maalumu Ghana

01:36

This browser does not support the video element.

16 Septemba 2024

Watoto wenye matatizo ya mifumo ya fahamu wakati mwingine huonekana kama "wamelaaniwa" nchini Ghana na kupuuzwa au kutelekezwa. Lakini kundi moja la wanawake katika sayansi ya magonjwa hayo linawatafuta katika jamii inayowazunguka na kuweza kuwapa usaidizi. Je katika jamii yako wapo watoto wa namna hiyo, mnawahudumiaje?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW