JamiiChangamoto za uzalishaji chakula Uganda01:30This browser does not support the video element.JamiiJohn Juma24.10.201724 Oktoba 2017Kwa muda mrefu Uganda imejulikana kama kapu la chakula kwa Afrika. Lakini sasa inakumbwa na changamoto ya kuwalisha wakimbizi wengi. Je sera yake ya kuwapa wakimbizi ardhi ya kulima, itaisaidia kuinua viwango vyake vya uzalishaji wa chakula?Nakili kiunganishiMatangazo