JamiiChangamoto za walemavu wa ngozi Burundi02:30This browser does not support the video element.JamiiYusra Buwayhid19.02.202019 Februari 2020Nchini Burundi watu wenye ulemavu wa ngozi wanabaguliwa na jamii na hata kuuliwa. DW imezungumza na Aline Niyubahwe, mwanamke aliyekosa fursa ya kujiendeleza na masomo ya sekondari kwa sababu ya ulemavu wakeNakili kiunganishiMatangazo