1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHILE. Tetemeko la ardhi lasababisha vifo

14 Juni 2005

Tetemeko la ardhi lenye kipimo cha rishta 7.8 limekumba sehemu ya kaskazini mwa Chile na kusababisha vifo vya watu wanane na mamia kupoteza makaazi yao.

Utawala wa Chile umesema kuwa tetemeko hilo limefika hadi Bolivia na Peru.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW