1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

China kuisadia Afrika kwa dola bilioni 60

01:30

This browser does not support the video element.

3 Septemba 2018

Rais wa China Xi Jinping ameahidi kutoa kiasi cha dola bilioni 60 kwa ajili ya maendeleo ya Afrika katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. Ufadhili huo utajumlisha dola bilioni 15 za msaada wa bure na mikopo isiyo na riba, katika juhudi za kutuliza wasiwasi kwamba msaada wa China unazidi kuyatumbukiza mataifa ya Afrika katika madeni.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW