China kutoa dola bilioni 60 kwa uekezaji AfrikaMjahida 04.12.20154 Desemba 2015China itaipa Afrika dolla bilioni 60 kusimamia miradi ya maendeleo barani humo ambayo miongoni mwa mambo mengine italenga ujenzi wa miuondo mbinu pamoja na maarifa katika bara hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.Nakili kiunganishiPicha: Reuters/S. SibekoMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.