SiasaChuki ya mtandaoni inapozidi na kuingia ulimwengu wa kweli01:23This browser does not support the video element.SiasaJacob Safari10.07.201810 Julai 2018Matamshi ya chuki kwenye mitandao ya kijamii ni tatizo kubwa Sudan Kusini. Kundi linalojiita "Kataa Chuki Sasa" linataka kuonyesha hii chuki ya mitandaoni inaweza kupindukia na kuingia katika ulimwengu wa kweli - ukiwa na madhara makubwa.Nakili kiunganishiMatangazo