JamiiChukua hatua za kupinga ukatili wa kijinsia 03:14This browser does not support the video element.JamiiVeronica Natalis28.11.202328 Novemba 2023Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, bado jamii inakabiliwa na visa vya unyanyasaji dhidi ya kundi hili. Nini kifanyike ili hatimaye vitendo hivi viondolewe? Tizama video hii kisha utupe maoni yakoNakili kiunganishiMatangazo