Je wajua kwamba mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini una chou chake cha kufundisha mazingaombwe. Kwa miaka 30 chuo hicho cha kiinimacho kimekuwa kikiwafunza vijana mbinu zote kama za karata na mauzauza. Si hayo tu bali pia kuwaleta vijana pamoja- katika jamii ambayo kwa kiwango fulani imegawika.