1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

COLOGNE Baba Mtakatifu awasili Ujerumani leo

18 Agosti 2005

Baba mtakatifu Benedikt wa 16 leo anatarajiwa kuwasili mjini Kolon kuhudhuria tamasha la ishirini la vijana hasa wa kikatoliki kutoka kote duniani.

Baba Mtakatifu anaetarajiwa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Cologne/ Bonn atalakiwa na rais wa Ujerumani bwana Horst Köhler na Kansela Gerhard Schröder.

Tamasha hilo la wiki moja linahudhuriwa na vijana wapatao laki nne kutoka sehemu mbambali za dunia.

.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW