1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Colombo:mamia wakimbia vita.

4 Agosti 2006

Maelfu ya raia wameripotiwa kuyakimbia mapigano nchini Sri Lanka kati ya majeshi ya serikali na waasi wa Tamil Tiger.

Zaidi ya watu 20,000 inasemekana wamekwama huko kaskazini mashariki mwa mji wa Mutur ambako waasi wanapigana na vikosi vya kijeshi vya serikali.

Mapigano ya mwisho yalipelekea kuuwawa kwa 25, na zaidi ya watu 800 wameuwawa mwaka huu na inahofiwa kuwa yale makubaliano ya kusitisha mapigano ya mwaka 2002 yamevunjika na nchi hiyo hiyo hivi sasa ipo katika hatari ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW