1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Corona: Athari za COVID-19 kwa wakulima Zimbabwe

02:46

This browser does not support the video element.

22 Mei 2020

Janga la corona limewaathiri mno wakulima wa Zimbabwe ambao huuza mazao yao katika masoko ya Ulaya. Wakulima hao ambao awali waliathiriwa na Kimbunga Idai sasa wanahangaika tena kupata hata ndege za kuyasafirisha mazao yao. Taarifa hii imeandaliwa na mwandishi wa habari wa DW Privilege Musvanhiri kutoka Zimbabwe

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW