1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Corona: Changamoto za madereva wa malori mpakani Namanga

03:05

This browser does not support the video element.

14 Mei 2020

Malori zaidi ya 300 yamekwama hapa katika mpaka wa Namanga unaoziunganisha nchi za Kenya na Tanzania. Kundi la madereva wa magari makubwa ya kubeba mizigo linatajwa kusambaza virusi vya Corona kwa kiwango cha juu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW