1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Corona: Dar es Salaam: Utupaji hovyo wa barakoa wazidisha hofu Dar es Salaam

02:36

This browser does not support the video element.

Tabia ya watu kuhatarisha afya za wengine kwa kutupa hovyo barakoa zilizotumika imeanza kushamiri mjini Dar es Salaam. Utupaji hovyo barakoa unashuhudiwa katika maeneo mengi ya mji huo. Ahmad Juma anaeleza zaidi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW