1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Corona: Tanzania kujitengenezea nguo za kujikinga dhidi ya COVID-19

02:55

This browser does not support the video element.

24 Aprili 2020

Katika hatua ya kupambana na virusi vya corona, hospitali ya taifa ya Muhimbili nchini Tanzania imeanza mchakato wa kutengeneza nguo maalum za wahudumu wa afya kuwaepusha dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona wanapowashughulikia wagonjwa. Hawa Bihoga anaeleza zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW