1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Corona yawalazimisha vijana kugeukia biashara za mitandaoni

04:12

This browser does not support the video element.

12 Mei 2020

Japo viwango vya maambukizi ya corona viko chini Afrika, janga hilo limeyavuruga maisha ya wengi. Vizuizi vya kusafiri na amri ya kutotembea nje zimewaacha wengi bila kazi. Nchini Afrika Kusini waekezaji wachanga wanaendelea kugeukia biashara zao ka kidijitali kuepusha athari za kiuchumi kutokana na janga la corona.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW