1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

COVID-19: Kupambana na virusi vya corona kutumia fasheni

03:00

This browser does not support the video element.

8 Juni 2020

Katika mtaa wa Kibera jijini Nairobi Kenya, mwanamitindo wa mavazi David Ochieng’ anapambana na virusi vya corona kwa kushona barakoa zinazopendeza kisha kuzigawa kwa wakaazi wa mtaa huo bila malipo, ili wajikinge dhidi ya janga la COVID-19 na pia kuelimisha kuhusu umuhimu wa barakoa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW