Vyombo vya habari
CPJ: 'Museveni aache kutishia wanahabari'
19 Juni 2018![Rais wa Uganda, Yoweri Museveni](https://static.dw.com/image/42003964_800.webp)
Matangazo
Ripoti ya CPJ inafuatia matamshi na matukio kadhaa yanayotishia utendaji unaozingatia maadili wa uandishi wa habari nchini humo. DW imezungumza na Ali Mutasa, mchambuzi na mwandishi wa habari aliyeko Kampala. Na kwanza anaelezea ripoti hiyo na vitisho wanavyokabiliwa navyo.