Dar es Salaam inavyoipiku Mombasa
30 Januari 2012![Meli ikiwa imeegesha kwenye bandari ya Mombasa.](https://static.dw.com/image/4171050_800.webp)
Matangazo
Eric Ponda kutoka Mombasa anaangalia sababu za kuporomoka kwa biashara kwenye bandari ya Mombasa na kinachowafukuza wafanyabiashara kwenye bandari hiyo kukimbilia bandari ya Dar es Salaam. (Tafadhali, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini kusikiliza).