1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dar es Salaam yaghariki?

Aboubakary Liongo28 Desemba 2011

Kwa mara ya kwanza katika historia ya karibuni ya Tanzania, mji mkuu wa kibiashara na kiuchumi nchini humo, Dar es Salaam, imekumbwa na mafuriko makubwa ya aina yake, ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40.

Kilio!
Kilio!Picha: DW

Aboubakary Liongo anaangalia mafuriko makubwa yaliyolikumba jiji hilo na athari zake kwa mjengeko wa maisha ya kijamii na miundombinu nchini Tanzania.

Makala: Dar es Salaam yaghariki?
Mtayarishaji: Aboubakary Liongo
Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW