JamiiAfrikaDarasa la mitindo kwa wanawake na wasichana wa Dar es Salaam03:58This browser does not support the video element.JamiiAfrikaTatu Yahaya06.03.20246 Machi 2024Wanawake na wasichana wa Dar es Salaam wanapata fursa ya kujifunza fani ya mitindo kwa lengo la kukabiliana na changmoto za maisha za kila siku. Zaidi tazama vidio iliyoandaliwa na Tatu Yahaya pale alipowatembelea darasani.Nakili kiunganishiMatangazo