Serikali ya Kenya itazindua dawa mpya zinazoaminika zitaweza kupunguza hatari ya mtu mwenye mpenzi aliye na virusi vya UKIMWI kuambukizwa. Dawa hiyo inaitwa PrEP ama kwa kirefu Pre-exposure Prophylaxis.
Matangazo
FE:Gesundheit 23/27/30.03.2017 PreP Kenya - MP3-Stereo