AfyaAfrikaDawa za sindano zinaweza kuleta unafuu kwa wanaoishi na HIV03:21This browser does not support the video element.AfyaAfrikaAmina Abubakar02.12.20242 Desemba 2024Nchini Afrika Kusini dawa mpya za kuzuwia maambukizi ya HIV huenda zikaleta mabadiliko kwa wanaoishi na HIV na kutoa matumaini pamoja na kuyalinda makundi hatarishi kama wanawake na jamii ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, LGBTQ. Nakili kiunganishiMatangazo