1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Densi na sarakasi

00:44

This browser does not support the video element.

9 Oktoba 2018

Kazi ni kazi, lakini unapoifurahia kazi yako, basi inaridhisha zaidi. Na wakati kazi yako ni kutokana na kipaji maalum mfano mwanadada huyu kutoka Tanzania anayeonesha umahiri wake katika densi na sarakasi, huwa huna budi kujivunia. Unazungumziaje kipaji cha Mariam Nassoro kwenye vidio hii?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW