DHAKA.Moto mkubwa wazuka
26 Februari 2007Matangazo
Mtu mmoja ameuwawa baada mto mkubwa kuzuka katika jumba moja kubwa nchini Bangladesh.
Vituo viwili vya televisheni na ofisi moja ya magazeti zimo katika jumba hilo.
Wazima moto wakishirikiana na maafisa wa jeshi la wanahewa wanapamambana kuuzima moto huo.
Hata hivyo kilicho sababisha moto huo bado hakijajulikana.