1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dharuba yapiga Bangladesh

23 Septemba 2007

Dhaka:

Wavuvi zaidi ya 100 hawajulikani waliko baada ya kimbunga kupiga nchini Bangladesh.Maafisa wa serikali wanasema mashua zaidi ya 15 zimezama.Mawimbi makubwa yanakorofisha shughuli za kuwaokoa walionusurika.Maafisa wa forodha huko Chittagong wamepiga marufuku safari zote za meli na mashua,hadi amri mpya itakapotolewa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW