1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Disko la kimya mjini Kampala

01:56

This browser does not support the video element.

20 Novemba 2017

Teknolojia katika nyanja ya burudani inazidi kushika kasi ambapo mjini Kampala sasa kuna disko la kimya (Silent Disco) kwa kutumia kisikilizio (headphone) kila mtu anapata burudani pasipo kumbugudhi mwingine. Zaidi tazama video ya mwandishi Lubega Emmanuel.