1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DJ EES, mwimbaji wa mtindo wa kufoka anayepambana na dhuluma za kijinsia

03:14

This browser does not support the video element.

13 Aprili 2021

"Wafalme kamili daima huwatunza malkia wao." Mwanamuziki wa mtindo wa kufoka kutoka Namibia EES anapambana na dhuluma za kijinsia na ana ujumbe imara kwa wanaume wote, kuhusu namna ya kuwa sehemu ya suluhisho. Je wewe pia ni mwanamuziki? Unaweza kurekodi wimbo wa kupambana na dhuluma za kijinsia na ututumie pia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW