1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Dodoma:Jakaya kikwete achaguliwa na CCM

4 Mei 2005

Hatimaye Jakaya Kikwete waziri wa mambo nje achaguliwa kuwa Mgombea kiti cha Urais kwa tiketi ya chama tawala cha CCM nchini Tanzania katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Kikwete amechaguliwa kwa njia ya kura na Wajumbe wa mkutano mkuu mjini Dodoma. Waliotarajia kuchaguliwa kushika nafasi hiyo ni pamoja na Dr Salim Ahmed Salim,aliyewahi kuwa waziri mkuu na katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa nchi huru za Afrika na ambaye sasa ni Mwenyekiti wa wakfu wa Mwalimu Nyerere na Waziri wa mawasiliano na uchukuzi Profesa Mark Mwandosya.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW