1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaPoland

Donald Tusk aapishwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Poland

13 Desemba 2023

Waziri Mkuu mpya wa Poland Donald Tusk ameapishwa leo kuiongoza serikali ya nchi hiyo.

Poland | Waziri Mkuu mpya Donald Tusk
Waziri Mkuu mpya wa Poland Donald Tusk akisaini hati ya kiapo mjini Warsaw.Picha: Anadolu/picture alliance

Rais wa Poland Andrzej Duda, ndiye alioongoza hafla hiyo na kusema ni wakati muhimu kwa Poland.

Hatua ya kukabidhi madaraka sasa imekamilika ikiwa ni miezi miwili tu baada ya uchaguzi wa wabunge wa Poland.

Katika kura ya jana bungeni, wabunge walionyesha imani yao kwa serikali ya Tusk ambayo inapendelea Umoja wa Ulaya.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW