DRC: Juhudi za kurejesha amani mashariki mwa Kongo
12 Juni 2012Matangazo
Hayo yamesemwa na balozi wa Marekani aliye ziarani mkoani Kivu ya Kaskazini mashariki mwa DRC. Na wakati huo huo, ripoti kutoka Bunagana, mji ulio katika mpaka na Uganda zinadokeza, kuwa waasi wa M23 wamevunja bomba linalosamnbaza maji katika mji huo, ulio na wakimbizi wengi.
Mwandishi wetu John Kanyunyu ametutumia ripoti ifuatayo kutoka Goma
(kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri:Othman Miraji