SiasaDRC: Kabila aahidi uchaguzi kufanyika05.04.20175 Aprili 2017Rais Joseph Kabila ameahidi kuteua Waziri Mkuu mpya kutoka upinzani mnamo masaa 48, ili kutekeleza mkataba wa kisiasa. Kwenye hotuba kwa taifa, Kabila ameahidi kufanyika uchaguzi mkuu japo hajataja tarehe.Nakili kiunganishiPicha: picture-alliance/AP Photo/J.BompengoMatangazoKabila ahutubia taifa - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.