DRC: Katumbi mgombea wa urais wa upinzaniElizabeth Shoo05.05.20165 Mei 2016Katumbi anaunga mkono pendekezo la kuweko na mgombea mmoja tu wa upinzani. Wakati huo huo, waziri wa sheria ametangaza kufunguliwa uchunguzi kuhusu tuhuma za kuweko mamluki walioajiriwa na Katumbi.Nakili kiunganishiPicha: Getty Images/F. ScoppaMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.