DRC, M23 watia saini mkataba wa amani
13 Desemba 2013Matangazo
Mkataba huo ulitiwa saini Jana jioni (12.12.2013) katika Ikulu ya Nairobi na kushuhudiwa na Marais Yoweri Museveni wa Uganda, Joyce Banda wa Malawi, mwenyeji wao Uhuru Kenyatta na Rais Joseph Kabila wa DRC. Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi na taarifa zaidi. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Alfred Kiti
Mhariri: Mohammed Khelef