Huko DRC, Mamia ya raia wa Kivu kaskazini wameyahama makaazi yao na kukimbilia katika maeneo mengine ikiwemo mjini Goma na Viunga vyake,kutokana na mapigano yaliyozuka kati ya wanajeshi walioasi na jeshi la Serikali.
Matangazo
Mwandishi wetu John Kanyunyu amekuwa akifuatilia hali ilivyo na kututumia ripoti ifuatayo.
(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)