DRC: Mapigano mkoani Kivu ya Kaskazini
23 Mei 2012Matangazo
Mapigano hayo yamegharimu maisha ya kiasi ya watu 100 na maelfu wengine kutokuwa na makaazi baada ya nyumba zao kuchomwa moto katika wilaya ya Masisi mkoani Kivu ya Kaskazini. Sudi Mnette alizungumza na Naibu Kiongozi wa Mashirika ya Kiraia katika mkoa huo Omar Kavota ambae kwanza anaeleza namna walivyolipokea tukio la mauwaji ya raia wasio na hatia.
(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman