1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DRC: Masumbwi kama njia ya kuondoa kumbukumbu hatari

03:59

This browser does not support the video element.

8 Juni 2020

Nchini DRC, bingwa wa zamani wa masumbwi Balezi Bagunda ambaye pia alitumikishwa kijeshi utotoni, ameanzisha klabu ya kuwafundisha mchezo wa masumbwi Watoto wa mitaani pamoja na watu waliotumikishwa kijeshi utotoni. Anatumai kupitia njia hiyo anawajengea mustakabali bora.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW