DRC: Upinzani Kongo watahadharisha kutumwa jeshi la umoja wa afrika nchini humo
16 Julai 2012Matangazo
Tayari Upinzani umechukizwa na ujio wa kikosi hicho, Lakini mashirika ya kiraia na makundi ya kutetea haki za binadamu yamepongeza kuweko kwa makubaliano ya Addis-ababa na kutaka utekelezaji wake haraka iwezekanavyo.
Taarifa kamili namwandishi wetu Saleh Mwanamilongo
(kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi:Saleh Mwanamilongo
Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman