Baada ya Rais Joseph Kabila hapo Jumatano kutangaza atamteua Waziri Mkuu ndani ya masaa 48, upinzani umesema unataka kuhusishwa katika mchakato wa kumteua kiongozi huyo mpya. Saleh Mwanamilongo anaripoti.
Matangazo
J2 06.04 Kinshasa: Opposition rejects kabilas move on Prime Minister - MP3-Stereo