DRC: Waziri wa maswala ya Kijamii Charles Nawej atembelea Goma
29 Mei 2012Matangazo
Serikali ya DRC imeanza kuwapa msaada wakimbizi katika kambi ya Goma na Rutshuru kupitia waziri wake wa maswala ya kijamii na umoja wa taifa, Charles Nawej. Lakini pamoja na kuukaribisha msaada huo, wakimbizi wanahimiza kupatikana kwa amani katika vijiji vyao, ili waendeshe shughuli zao za kawaida. Mwandishi wetu wa Mashariki ya DRC, John Kanyunyu, na taarifa hiyo.
(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwanidshi: John Kanyunyu/DW Goma
Mhariri: Othman Miraji