DRC yafurahia kukamatwa kwa Kabila
11 Februari 2013Matangazo
Serikali ya Kongo imeomba watu hao kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria nchini mwake ili kujibu makosa yao. Wakati huo huo, kiongozi mwingine wa kundi jipya la waasi la UFRC amekamatwa jimboni Kivu ya Kusini, wakati ambapo mjini Kinshasa juhudi za mjadala kwa ajili ya maridhiano ya kitaifa zimeanzishwa na chama tawala.
Sikiliza taarifa ya mwandishi wetu wa Kinshasa, Saleh Mwanamilongo, kwa kubonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman