1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DUBAI: Al-Jazeera yaonyesha kanda ya video ya Al-Qaeda

8 Septemba 2006

Kanda mpya ya video imeonyeshwa na kituo cha televisheni cha Kiarabu Al Jazeera,ikidaiwa kuwa watekanyara wa Septemba 11 waonekana wakikutana na kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda Osama Bin Laden.Kwa mujibu wa Al-Jazeera,wateka nyara walikuwa wakijitayarisha kwa mashambulio ya Septemba 11.Kanda hiyo imetangazwa siku chache kabla ya kutimia miaka mitano tangu kufanywa kwa mashambulio ya Septemba 11 mjini New York na Washington.Takriban watu 3,000 waliuawa katika mashambulio hayo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW