1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DUBAI: Waislamu wahimizwe kuishambulia Israel

28 Julai 2006

Naibu kiongozi wa Al-Qaeda,Ayman al Zawahari ameonya kuwa kundi hilo halitokaa kimya na kuitazama Israel ikishambulia Lebanon na Wapalestina kwa mabomu.Mwanamgambo huyo,alie mzaliwa wa Misri,amewahimiza Waislamu kote duniani, waungane kuipiga vita Israel. Al-Zawahari ametoa ujumbe huo katika kanda ya video iliyoonyeshwa kwenye televisheni ya Al Jazeera.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW