Timu ya LbE Kiswahili: Fundi mitambo, Michael (Kushoto), Grace Kabogo, (katikati) mtayarishaji na mwandaaji wa vipindi vya Noa Bongo-Jenga Maisha Yako na Simon John (kulia) mtayarishaji msaidizi, waliofanikisha kurekodiwa mchezo mpya wa ''Karandinga'', hadithi nne kuhusu upelelezi katika Uhalifu wa Mtandaoni, Unyanyasaji wa Majumbani, Uchafuzi wa Mazingira na Biashara Haramu ya Binaadamu. Picha: DW/G. P. Kabogo