1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

DW Kiswahili: Habari za Ulimwengu Jan 05, Jioni

05:51

This browser does not support the video element.

5 Januari 2024

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock kufanya ziara kuelekea Israel siku ya Jumapili. Tume ya uchaguzi Urusi yaidhinisha majina ya wagombea wawili kuwania urais katika uchaguzi wa mwezi Machi. Shirika la chakula na kilimo FAO lasema kuwa bei ya chakula duniani ilishuka mwaka 2023.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW