1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ruto asema mivutano ya Magharibi, Urusi inavuruaga mishikamo

21 Novemba 2023

Rais wa Kenya William Ruto amesema mivutano kati ya mataifa ya Magharibi na Urusi na China, inadhohofisha mshikamano wa Jumuiya ya kimataifa wa kukabiliana na changamoto zinazotukabili ikiwo mabadiliko ya tabia nchi.

Akilihutubia Bunge la Ulaya mjini Strasbourg nchini Ufaransa, Ruto amesema tofauti zilizopo kati ya Mashariki na Magharibi hazikubaliki na hazina tija, kwani zinaenda kinyume na maslahi yetu sote.Katika hotuba yake, Ruto ameangazia pia mizozo barani Afrika, Mashariki ya Kati na Ulaya ambayo inayumbisha mahusiano ya kimataifa, na kuweka kiwingu katika azma ya maendeleo na changamoto za kifedha zinazoyakabili mataifa ya Afrika.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW