Elimu Jumla – Kipindi 5 – Mayai na Viazi07.04.20117 Aprili 2011Mayai yanapochemshwa huwa magumu wakati viazi huwa laini. Kwa nini? Mchakato huu umejaa masuala mengi ya fizikia na biokemia. Wakati wa mlo wa jioni kwa akina Jenny, tunagundua kwamba Jack anayafahamu majibu.Nakili kiunganishiMatangazo